Kigami Yoshiji, mmoja wa waathiriwa waliofariki kwenye shambulio hilo, alikuwa mtengenezaji nguli wa katuni za anime aliyeshiriki utengenezaji wa kazi maarufu kama vile “AKIRA” na “Grave of the ...
Nchi za Magharibi zinazoushambulia Uislamu zinataka "kuanzisha vita vya kidini," rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema leo Jumatano wakati mvutano ukiendelea kuongezeka kati ya nchi yake na ...
Hayo yanajiri wakati serikali ya nchi hiyo iliwataka wananchi wake kususia bidhaa kutoka Ufaransa. Makabiliano yalizuka siku moja kabla kati ya wafuasi wa vuguvugu hilo na polisi huko Islamabad wakati ...
Gazeti la kila wiki la vibonzo la Charlie Hebdo la Ufaransa toleo la kesho Jumatano linatarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Muhammad katika ukurasa wake wa mbele chini ya kichwa cha habari "Yote ...